PRAYER POINTS: THURSDAY 18th January 2018

1. Pray for the Holy Spirit to give you a heart and anointing for ministry. Pray for a higher commitment to serve God. John 12:26; Joshua 24:14-15; 1 Peter 4:10. Pray for the Holy Spirit to raise and send more workers in His field. Mathew 9:38

2. Sow a seed by interceding for other people. Job 42:10; Gen 20:17. Pray for other people who are in need as the Holy Spirits leads you. Mathew 5:44; Acts 12:5; James 5:16. Pray for your pastors and their families for God to strengthen and bless them.

3. Pray for the church of God in Tanzania and Africa. Pray against the spirit of deception, witchcraft, false doctrine etc. Pray for the Holy Spirit to restore the church to the foundation of God’s word. Mathew 16:18

4. Pray for the nation of Tanzania and other nations. 1 Tim 2:1-2. Pray for government leaders for wisdom and fear of God. Pray for God to reign among the nations and let His will be done in Tanzania and in the nations of the world. Psalms 33:12; Isaiah 62:6-7; Mathew 6:10

MAMBO YA KUOMBEA: ALHAMISI, 18 /1/ 2018
1. Omba Roho mtakatifu akupe moyo na upako wa kumtumikia Mungu. Omba Roho Mtakatifu akusaidie kujitoa kwa kiwango kingine katika kutumika. Yohana 12:26, Yoshua 24:14-15, 1 Petro 4:10. Omba Roho Mtakatifu ainue na kuwatuma watendakazi katika shamba lake. Mathayo 9:38

2. Panda mbegu kwa kuwaombea watu wengine. Ayubu 42:10, Mwanzo 20:17. Omba kwa ajili ya watu wenye mahitaji kadri Roho Mtakatifu atakavyokuongoza. Mathayo 5:44, Matendo 12:5; Yohana 5:16. Omba kwa ajili ya wachungaji wako na familia zao ili Mungu awatie nguvu na kuwabariki.

3. Omba kwa ajili ya Kanisa la Tanzania na Africa. Omba kinyume na roho ya udanganyifu, uchawi na mafundisho potofu.Omba Roho Mtakatifu alirejeshe kanisa kwenye msingi wa neno la Mungu. Mathayo 16:18

4. Omba kwa ajili ya Taifa la Tanzania na mataifa mengine. 1 Timotheo 2:1-2. Omba kwa ajili ya viongozi wa serikali ili wapate hekima na hofu ya Mungu. Omba Mungu atamalaki katika mataifa na mapenzi yake yafanyike. Zaburi 33:12; Isaya 62:6, Mathayo 6:10.

Categories: Announcements, Blog, Church Bulletin

Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

code

%d bloggers like this: