FRIDAY 19th January 2018

1. Pray that you be strong in the Lord and in the power of His might and ask the Holy Spirit to help you put on the whole armor of God. Ephesians 6:10-18, 1 Corinthians 10:13, Psalms 138:3

2. Pray against principalities, rulers, evil powers and all evil spirits which are assigned to attack your family, job, finances, church etc. Ephesians 6:12-13. Destroy and uproot everything which is not of God and plant that which is of God in your life. Jeremiah 1:10, Psalms 24:7-10. Pray for God to arise and His enemies be scattered. Psalms 68:1

3. As you pray, speak the word of God to every mountain or need in your life. Ezekiel 37:1-12, Mathew 21:21-22, 17:20. Pray for God to restore all the years eaten by locusts. Joel 2:25-26. Declare God’s blessings over your life.

4. Thank God for the great and new things that He is doing in your life, in the church and in the nation of Tanzania. Isaiah 48:6. Thank God for the victory you have through Jesus Christ. Romans 8:35-39.

MAMBO YA KUOMBEA: IJUMAA 19 Januari 2018
1. Omba uwe hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake huku ukiomba Roho Mtakatifu akuwezeshe kuvaa silaha zote za Mungu. Waefeso 6:10-18, 1 Wakoritho 10:13, Zaburi 138:3

2. Omba Kinyume na falme na mamlaka, wakuu wa giza na pepo wabaya ambao wamejipanga kushambulia familia yako, kazi, fedha, kanisa nk. Waefeso 6:12-13. Haribu na ng’oa kila kitu katika maisha yako ambacho si cha Mungu, panda makusudi ya Mungu katika maisha yako.
Yeremia 1:10, Zaburi 24:7-10. Omba Mungu ainuke na adui zake watawanyike. Zaburi 68:1

3. Unapoomba tamka neno la Mungu juu ya milima na shida zilizopo maishani mwako. Ezekieli 37:1-12, Mathayo 21:21-22, 17:20. Omba Mungu akurejeshee miaka iliyoliwa na nzige. Joel 2:25-26. Tangaza baraka za Bwana juu ya maisha yako.

4. Mshukuru Mungu kwa mambo mapya na makubwa anayokwenda kuyafanya katika maisha yako, katika Kanisa na katika Taifa la Tanzania. Isaya 48:6. Mshukuru kwa ushindi tulionao kupitia Yesu Kristo. Warumi 8:35-39.

Categories: Announcements, Blog, Church Bulletin

Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

code

%d bloggers like this: