PRAYER POINTS: SATURDAY 20th January 2018

1. Praise and worship God through music, songs, words etc. Praise and worship Him for His faithfulness, greatness and for what He has done. Psalms 103:1-5; Psalms 145:3; Ephesians 5:18-20; Hebrews 13:15; Psalms 95:1-6.

2. Wait on God silently in prayer and let God speak to you. Psalms 62:5; Lamentations 3:24-26

3. As you pray, declare and speak the promises of God for you over your life. Declare in line with the word of God what you want to see happen this year in your life and in the church (DPC). 2 Corinthians 4:13
• Psalms 23:1-6; Philippians 4:18-19 – For God’s provision; guidance.
• Psalms 91 – For God’s protection.
• Deuteronomy 28:1-13 – For God’s blessings, health, long life etc.
• Joshua 24:14-15 – For Serving God and walking in His ways.

PRAYER POINTS: SUNDAY 21st January 2018
1. Thank God for everything you prayed for from 8th to 20th January 2018. Psalms 107:1-43; Psalms 20.

*Kindly be reminded that tomorrow’s prayer meeting will start from 1:00-3:00pm, invite others*

MAMBO YA KUOMBEA: JUMAMOSI 20 Januari 2018
1. Msifu na kumuabudu Mungu kwa muziki, nyimbo, maneno nk. Msifu na kumuabudu Mungu kwa ajili ya uaminifu wake, ukuu wake na kwa yote aliyoyafanya na kwa yote anayokwenda kuyafanya. Zaburi 103:1-5; Zaburi 145:3; Waefeso 5:18-20; Waebrania 13:15; Zaburi 95:1-6.

2. Tulia mbele za Bwana na umngojee Bwana katika maombi ili aseme na wewe. Zaburi 62:5, Maombolezo 3:24:-26.

3. Unapoomba, tamka na kukiri neno na ahadi za Bwana katika maisha yako. Tamka na kukiri mambo ambayo ungependa kuyaona yakitokea mwaka huu katika maisha yako na kanisa la DPC. 2 Wakorintho 4:13.
• Zaburi 23:1-6; Wafilipi 4:18-19 – Mungu kukupa mahitaji yako na uongozi wake
• Zaburi 91 – Ulinzi wa Mungu.
• Kumbukumbu la torati 28:1-13 – Baraka za Mungu, afya, maisha marefu nk.
• Yoshua 24:14-15 – Kumtumikia Mungu na kutembea katika mapenzi yake.

MAMBO YA KUOMBEA: JUMAPILI 21 Januari 2018
1. Mshukuru Mungu kwa kila jambo uliloliombea kuanzia tarehe 8 hadi 20 Januari 2018. Zaburi 107:1-43; Zaburi 20

*Kumbuka kesho tunakutana kuomba pamoja kuanzia saa 7:00 mchana – 9:00 alasiri. Karibisha wengine*

Categories: Announcements, Blog, Church Bulletin

Comments

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

code

%d bloggers like this: